I made this widget at MyFlashFetish.com.

Sunday, October 31, 2010

BADO TUNASUBIRI MATOKEO HADI SASA TUME HAIJATANGAZA KITU

Wadau mimi sasa nipo studio ndai Zenjifm hakuna kulala . Hapa nasubiri kuungana na wenzangu walioko bwawani ili kuwaletea matokeo moja kwa moja . so stay tune.... yakitoka tu na kwenye blog ntaweka . ntarud tena na info baada ya nusu saa.

2 comments:

  1. kaka mpaka usubırı ya tume kuna yale ya awalı yalıyobandıkwa mıtaanı .mau turkey

    ReplyDelete
  2. CUF IMESHINDA MAJIMBO YOTE YA PEMBA NA MAJIMBO MATATU 3 UNGUJA AMBAYO NI STONE TOWN, MAGOGONI, MTONI na mengine bado hayajatangazwa...ZANZIBAR MPYA OYEEEEEEE

    ReplyDelete